Nia ya Bagamoyo Sober House
Kama Mraibu aliyemsafi, niliona njia pekee ya kupata toa ni kuhudumia waraibu na waathirika wa pombe, madawa na kamari. Ndipo, nilipofungua Kituo cha tiba cha Bagamoyo. Tumehudumia maelfu, tunamshukuru Rais na Viongozi wa nchi kutupatia nafasi ya kubadilisha maishaya wananchi. Vijana, Wazee, Wake kwa Waume.
Kupitia tovuti hii, tunakuletea nafasi ya kujirudi na kuacha tabia zilinazotokana na matumizi ya mihadarati. Kama kamari, wizi nk.
Tutatoa ushauri wa bure kupitia line yetu ya bure. Na kumsaidia muathirika katika kurudia utimamu na kupata tiba kwetu bure.
Treatment Services
What We Provide

Rehabilitation Groups
Responsible Care

Detoxification
Confidential and Comprehensive

Inpatient Drug Abuse Treatment
Healthy Recovery

Rehabilitation Groups
Responsible Care
We Rely on Your Support
Do Something Amazing Today
ajira.site relies heavily on the generosity of others who give their time or contribute financially. Your donation will be used to help someone at our center - maybe even someone you know - get over an addiction. Get in touch with us to find out about all the ways you can contribute and support our cause.

“No legacy is so rich as honesty”